TOA KWA MOYO WA FURAHA
Give
Shiriki katika kuendeleza kazi ya Mungu kwa moyo wa hiari.
KWA NINI TUNATOA?
Kushiriki katika kazi ya Mungu
Utoaji wetu ni tendo la ibada na shukrani. Unasaidia mahubiri ya Injili, malezi ya watoto na vijana, umisheni, ujenzi na huduma kwa jamii.
2 WAKORINTHO 9:7
“Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu.”
NJIA ZA KUTOA
Taarifa rasmi zitawekwa hapa
Akaunti ya benki na namba za malipo zitaongezwa baada ya kuthibitishwa na uongozi wa kanisa.
Linda utoaji wako
Tumia taarifa rasmi zilizochapishwa kwenye website hii pekee. Kanisa halitaomba PIN au password yako.