IBADA · NENO · USHIRIKA
Karibu Tuabudu Pamoja
Tukue katika Neno la Mungu na kujenga ushirika wa kweli katika Kristo.
Jiunge NasiRatiba za IbadaSISI NI NANI
Tangu mwaka 1959, tumekuwa mahali pa ibada, mafundisho, ushirika na huduma kwa jamii.

UJUMBE WA KARIBU

Tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu katika familia ya PHAMT Jerusalem Makole. Hapa ni mahali pa kumjua Mungu, kukua katika Neno lake, kujenga ushirika wa kweli na kutumia vipawa vyako kumtumikia Kristo na jamii.
Haijalishi unatoka wapi au unapitia nini, milango yetu iko wazi. Karibu tuabudu, tujifunze na kukua pamoja katika imani, upendo na tumaini.
“Karibu nyumbani—mahali ambapo kila mtu ana thamani na nafasi ya kuhudumu.”Soma kuhusu uongozi na historia yetu →
HUDUMA ZETU
Kuwalea katika Neno na vipawa.
Kumwabudu Mungu kwa nyimbo.
Kupeleka Habari Njema.
Kuonyesha upendo kwa matendo.
MATUKIO KATIKA PICHA

Waumini wakimsifu na kumwabudu Mungu.

Watoto wakihudumu kwa vipawa vyao.

Mwalimu Pastor Josephine Kihoza.

Msaada kwa PHAMT Ihumwa B.
TUKO HAPA KWA AJILI YAKO
Makole, karibu na CBE, mkabala na Kituo cha Kimbinyiko, Dodoma.
Simu/WhatsApp: +255 767 485 129
Email: phamtjerusalemdodomatv@gmail.com