Morning Glory
Saa 12:00 asubuhi – Saa 1:00 asubuhi
6:00 AM – 7:00 AM
KILA MTU ANA NAFASI
Tunakua pamoja katika ibada, Neno, ushirika na huduma.
TUNAMTUMIKIA MUNGU PAMOJA
Kila mtu ana nafasi ya kukua, kutumia kipawa chake na kushiriki katika kuujenga Mwili wa Kristo.
RATIBA ZA IBADA
Ungana nasi katika maombi, mafundisho ya Neno, sifa na ushirika katika siku mbalimbali za wiki.
Saa 12:00 asubuhi – Saa 1:00 asubuhi
6:00 AM – 7:00 AM
Saa 10:30 jioni – Saa 12:00 jioni
4:30 PM – 6:00 PM
Saa 10:30 jioni – Saa 12:00 jioni
4:30 PM – 6:00 PM
Saa 10:30 jioni – Saa 12:00 jioni
4:30 PM – 6:00 PM
Karibu sana kuabudu pamoja nasi PHAMT Jerusalem Makole.
IDARA ZA KANISA
Idara zetu huunganisha waamini, kukuza vipawa na kuimarisha huduma ya kanisa kwa kila rika.
Kuwaunganisha na kuwawezesha wanawake kukua katika imani, familia, uongozi na huduma kwa jamii.
Jiunge na WIHA →Kulea vijana wenye msingi wa Neno la Mungu, maadili mema, vipawa na moyo wa kulitumikia kanisa.
Jiunge na PVM →Kuwajenga wanaume katika imani, uwajibikaji, uongozi wa familia na ushiriki katika kazi ya Mungu.
Jiunge na WAHO →Kuwafundisha watoto Neno la Mungu, maombi na maisha ya Kikristo kwa njia inayolingana na umri wao.
Fahamu zaidi →Kupokea wageni, kuratibu huduma na kuhakikisha utaratibu mzuri wakati wa ibada na matukio ya kanisa.
Shiriki nasi →Kuhudumu kwa nyimbo zenye ujumbe wa Injili na kulijenga kanisa kupitia uimbaji wa pamoja.
Jiunge na kwaya →Kuongoza usharika katika kumsifu na kumwabudu Mungu kwa sauti, ala na maisha ya ibada.
Hudumu nasi →Kuanzisha na kusimamia miradi inayosaidia uendelevu wa kazi ya Mungu na maendeleo ya kanisa.
Shiriki katika miradi →WATOTO NA VIJANA
Tunawalea watoto na vijana katika Neno la Mungu, tunakuza vipawa vyao na kuwaandaa kuwa viongozi na watumishi waaminifu wa kizazi kijacho.

UMISHENI NA JAMII
Tunaendeleza urithi wa kuhubiri Habari Njema, kuanzisha kazi mpya na kuonyesha upendo wa Kristo kwa jamii kupitia huduma za huruma.
Soma historia ya umisheni →